Wednesday, April 25, 2012

Matumaini ya kuingia fainali UEFA kwa barca jana usiku yameuliwa na chelsea baada  ya kutoka sare ya 2-2 ndani ya uwanja wao wa nyumbani nuo camp!Ingawa barca ndio walianza kufunga magoli yote mawali walijikuta ya kirudishwa bila ya wao kutarajia kabisa!(Pichani:MESSI)

No comments: