Wednesday, April 25, 2012

Elizabeth Michael"LULU"juzi alirudishwa mahakani na kusomewa kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha gwiji la filamu nchini "steven kanumba(uncle jj)"hata hivyo hakukuwa na mafanikio yoyote kwani kesi yake ilihairishwa tena!