Mshindi wa tuzo mbili za wimbo bora wa hip hop na msanii bora wa hip hop katika tuzo za kili tanzania music awards, mtu mzima rhymes of magic attraction/
roma mkatoliki amefunguka kuwa tyme hii hapa yuko katika harakati za
kumalizia documentary kuhusu muziki wake, 255 imepiga story na roma na
kumuuliza je documentary hiyo imechochewa na tuzo alizozipata hivi
karibuni au alikua na wazo la kufanya documentary hiyo kabla ya kupata
tuzo?
Roma
amechomoa ku ahidi cku ambayo documentary itaingia mtaani, kwa sababu
bado hajakua na uhakika, ila akazungumzia kwa ufupi kuhusu lini
anatarajia kuachia ngoma mpya
No comments:
Post a Comment