Sunday, May 6, 2012

KAA TAYARI KWA JOINT MPYA YA IZZO B

Siku ya jumatatu Mzee wa kuongea na mshua na barua anatarajia kuachia pini jipya alilolipa jina la MWAKA JANA  feat Shapsin  iliyotengenezwa na producer bora wa mwaka MANECK.

No comments: