Mkali
kutoka New Orleans, mirror featuring Bruno Mars singer Lil Wayne a.k.a
Wizia babes amemaliza kesi nje ya mahakama, Kwa mujibu wa TMZ kesi hiyo
ilikuwa ni ya madai iliyofunguliwa March mwaka 2011 ikimshtaki Wayne kwa
kutomalizia malipo ya ngoma ngoma lolpop na other tracks zilizokuwemo
katika album ya mwaka 2008 “Tha carter III” kiasi alichokua akidai ni
dola milioni 20 . Producer huyo anayeitwa “Deezle” Harrison amelipwa
pesa hizo dola million 20 na kesi hiyo kufutwa.
Deezle hakuwa producer pekee
aliyelalamika, Play N- Skills walimshtaki Weezy mwezi June 2011 kwa
kutolipa malipo ya LP ya royalties, mwingine alikuwa David Kirkwood
mwezi huo huo.
No comments:
Post a Comment