Sunday, May 6, 2012

JEEZY ANA SHABIKI NDANI YA IKULU YA MAREKANI (WHITE HOUSE).

Rais Obama ampa shout outs Young Jeezy mkali wa ngoma “My President ” wakati akitoa speech Ikulu huko Washington D.C katika chakula cha usiku na waandishi.
“Kipindi cha kwanza niliimba Al Green, Kipindi cha pili, ntaimba  Young Jeezy” alitania POTUS kabla ya kuridi kwa first lady Michelle Obama “ Namuimbiaga hiyo saa zingine” alisema Obama.
Jeezy akamjibu Obama baada ya kutweet “shout out to @BarackObama” . Young Jeezy alirekodi ngoma ya "My President" kipindi cha campaign za Obama kwa ajili ya urais mwaka 2008. “ You know they love the snowman in the white house”.

No comments: