Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ (kulia), akiwa wamekaa kwa huzuni na wenzake.
Boban akilia kwa uchungu.…
Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ (kulia), akiwa wamekaa kwa huzuni na wenzake.
Boban akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Moro United, Jackson Chove, akiwa na huzuni.
Waombolezaji ambao ni mashabiki zake wakilia kwa uchungu.
Kifo cha kiungo mkabaji wa timu ya Simba, Patrick Mafisango, kilichotokea leo alfajiri maeneo ya Veta-Chang’ombe jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali ya gari, kimewahuzunisha watu wengi ambao walikusanyika nyumbani kwa mchezaji mwenzake, Emannuel Okwi, maeneo ya Bora-Keko ambako taratibu za msiba zinafanyika huku wakilia kama watoto.
No comments:
Post a Comment